_

Come to Nafasi Art Space from 3.30 to 5pm on Thursday, 15th February 2018 for an Artist Hangout with our Artists-in Residence Mike Kyalo and Marius Comanns.

Maruis Comanns ni mzaliwa wa Dusseldorf, Ujeremani na sanaa zake zaangalia namna hadithi za kale zashawishi maisha ya sasa hivi. Vile vile Mike Kyalo, wa Kenya, antumia picha zake kumulika ushisho wa mazingira katika ya maisha ya kila siku. Wasaani wote hawa waafurahiya mafinikio ya kimataifa.